Monday, 7 May 2007

Nani Zaidi Hapo?

Warembo hapo kati ya hao watano ni nani zaidi?nipe wa kwanza mpaka wa mwisho... kazi kwenu wadau...kura nimezianzisha rasmi...1..2...3......twende kazi!

2 comments:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Wa tano mkono wa kulia ndio kamaliza kabisa mimi nimezimika na outfit yake especially the shoes ziko bomba.....

Anonymous said...

Huyo mwenye gauni jeupe lenye decorations nyeusi...the one who look like asian...between the two black girls :-)