Wednesday, 2 May 2007

Oversize shades!


Kama mjuavo warembo swala la kuvaa miwani ambayo frame zake zinakuwa kubwa (oversize shades) ni swala ambalo kila mrembo avaapo huwa anapendeza sana...ila kuna aina tofauti tofauti ya miwani hiyo na huwa inategemeana na aina na umbo la sura ya mtu aivaayo na hapo ukivaa aina inayoendana na ww basi utaonekana nyoko vibaya sana...nadhani hapo mmenisoma warembo kama pichani mumuonavyo mrembo huyo akiwa kapiga oversize miwani ambayo imenakshiwa na frame nyeupe na kusema ukweli kapendeza sana mazagazaga aliyovaa shingoni na hata hicho kiblauzi cha Isidingo au Channel 5....ametoka bomba sana kusema kweli...Big up sana nampa!

2 comments:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Mrembo katoka bomba sana na hizo sahdes ila mimi kwa mtizamo wangu inabidi kabla ya kuvaa ungalie sura yako maana kuna watu wengi wanavaa tu ilimradi waonekane wamevaa wakati unakuta sura zao hazifaii kuvaa oversize shades maana siku hizi bongo kila mtu utakayepishana naye kavaa hata kama hizi m-suit yeye twende tu....

Unknown said...

Nice job sheriaa...
kip it Up son..

Bro..
h@ki