Sunday, 20 May 2007

Pamba Nyepesi!

Ukisikia uvaaji wa pamba nyepesi ni aina tu ya uvaaji wa mavazi flani hivi unayokuwa nadhani confortable nayo...embu tazama kuanzia kofia,kijishati simple white ndani,kijivest sweater cha green na white,belt simple la coffee brown,na jeans la light blue si mchezo mambo ya Common huwaga hakopeshi katika milipuko yake popote pale...

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Huyu bwana kwenye outfit siku zote namkubali na nampa big up sana