Wednesday, 23 May 2007

Pink Na White Inapomatchishwa!













Siku zote rangi ya pink ni moja kati ya rangi ambayo warembo wengi wanaizimikiaga na hii aina ya rangi imebase sana kwnye mavazi ya kike kuliko ya kiume na leo nimeona niwape mdungo huo warembo ni jinsi gani na aina gani ya vitu vio hot kwenye fashion market kwasasa naona nikanzi picha ya juu kabisa mnaona hiyo Roxy Far Out Tote (pochi) linavyoonekana unaweza ukachagua choice ya aina mbili unaweza ukaliacha kama picha ya kwanza linavyoonekana au ukbadilisha ndani uapatoa nje na kuwa kama picha ya pili yake, Chunky Bracelet, Daytrip Heart Tank,Roxy Lukas Plaid Short(kikaptula) na mwisho ni hiyo simple flat sendoz ya white...mhh mnasemaje warmbo mapigo hayo?

1 comment:

Anonymous said...

Pretty cool...I like the bracelet