Wednesday, 2 May 2007

Polo Pony Plaque Belt!

Nadhani kwa wazee wa formal outfts hapo mmenisoma mkanda huo kwakuvalia suruali zote za vitambaa na kutoka nyoko bovu...nadhani mzee mzima Derrick hapo umenisoma fresh ukiwa umelipuka na huo mkanda shati safi,suruali kali na mkwaju chini na juu ukiwa umemalizia na tai ya maana..upo mkuu?

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Mkuu hapo usipime kabisa yaani juu una shati lako lina strips designer NEXT,TOPMAN au RIVER ISLAND kama vile za light blue umepigilia na tie yenye crazy colour za strips halafu una suruali yako nyeusi kali ya DOLCE AND GABANA halafu na hiyo belt ya polo halafu unamaliza chini kwa kukandamiza na travolta moja kali sana ukiingia sehemu lazima wakukubali mkuu sheria nimekusoma hapo POLO PONY PLAQUE BELT imesimama