Saturday, 26 May 2007

Red,Silver,White & Blue!











Hayo ndio mambo nayowapa weekend hii warembo ili mujue leo mtoke vipi...mnasemaje hapo warembo nilipowadunga kuanzia jua tukianzia na Small Hoop Earring,Cinched Tote,Daytrip Polka Dot Shirt,MEK Flap Pocket Stretch Jean,CL By Laundry Innis Shoe haya ngojea niwaache mtafute mtoko utakuwaje?haya kazi kwenu!

3 comments:

Anonymous said...

This is a nice combination...I mean...I like all the things..especially the shoes..that's my disease..SHOES!!!

Anonymous said...

I lovee.........meeeeeeeeeeen I love

Anonymous said...

jamani huu mtoko ni wa hatari..hivi unavitoaga wapi hivi viatuu,nimevimindo sanaa..khaa..maana kilivyopangaliwaa..cpati picha mtu alipuka navyo..big up sana sheria!!haya ndio mambo yakutuonyesha...
aka..chaupepo!!