Saturday, 5 May 2007

Scarf Hata Gents .......Ruksa!

Nadhani kuna baadhi ya vitu viko special kwa gender moja tu either ya kiume au kike...ila kuna baadhi ya vitu vingine vinaweza kuvaliwa na gender zote mbili bila hata shida ingawa kunakuwaga na utofauti wa kiasi flani kama sio katika rangi,style scarf yenyewe basi hata urefu wa scarf yenyewe unaweza inatofautiana kutoka gender moja kwenda nyingine kama uonavyo pichani...mzee mzima Mario akiwa kajidunga stock mojawapo ya brown ndani ya t-shirt la brown mikono mirefu na jeans ya dark blue na kwa kusema ukweli ametoka fresh kinoma...kwahiyo wadau zangu msiogope kuna baadhi ya vitu vingine vinavaliwa kwa gender zote bila wasiwasi...nadhani mmenisoma wakuu hapo na warembo!

2 comments:

Anonymous said...

I like Mario's outfit more than the girl's outfit!!

DERRICK MUSHOBOZI said...

Mhhhh Mario luks good on that oufit i am not so sure about the scarf maana sisi wabongo tukiona mamtoni watu wametinga scarf na sisi nao tumo kumbe weather zetu zinatofautiana but the girl looks fine too.