Swali?Je Sababu Kubwa ni Choice Yao,Pesa Au Umri Flani Umefika Kwa Wao Kuamua Kuchange Namna Hiyo!

Huyo ndio mwanamziki maarufu Nelly alivyochange kwenye swala zima la kulipuka pamba na kwa kusema kweli watu wengi wamebadilisha uvaaji wao wa wazamani na kuanza kuvaa kiutu uzima kama kujipigilia suti za maana na kuwaona mara chache sana wakirudia style zao za zamani za uvaaji..sasa swali linakuja je hivi...je ni choice ya ndio imewafanya hivyo kwakuwa wanfanya business meeting na watu wa maana au ni pesa walizonazo ndio zinawafanya hivyo au vilevile umri unamatter...kama nadhani mmemwona ludacris ameamua kuacha kusuka na kukata nywele simple je sababu yake kubwa ndio hayo niliyoongelea hapo juu?
2 comments:
I think as long as you have that many, you can change your style as you want!!!
I think its cash that makes you do whatever you want remember you can even take someones life with dough.....
Post a Comment