Sweater,Shati/Tai,Kipensi Na Classic D.Shoes!
Tazama kuanzia jua kaanzia na sweater,shati la mikono mifupi na tai nyembamba,kikaptula cha silk silver na mkanda mweupe na chini kashindilia na classic d.shoes kali za silver velvet...mhh nadhani huo mchanganyiko hapo ukiupata nadhai watu watakutolea macho sana kwasababu ni vitu adimu sana ukimkuta mtu kavaa.....je ingekuwa wewe umepata stock hiyo pale bongo je ungejilipua nayo kwenye party mbalimbali na kama ndio hivyo watu watakaokuona watakuzungumziaje au kukuchukuliaje wakikuona umevaa kipensi badala ya suruali kama ilivyozoeleka na wengi?
No comments:
Post a Comment