Sunday, 20 May 2007

TANGAZO!!!!!



Ndugu wadau zangu nimeona nichukue fursa hii kuwajulisa kuhusu kuwaletea huduma nyingine mpya ya matangazo kupitia blog yangu hii ya SHERIA NA MAVAZI...mtaweza kupata vitu mbalimbali kuanzia ticket za ndege za bei nafuu,hotel mbalimbali,safari adventures,usafiri kuanzia wa angani,majini na nchi kavu(barabara)unaweza kufanya booking online n.k....nawaomba kwa kujua zaidi tazama upande wako wa kulia wa blog hii na utaona matangazo hayo na ukitaa kujua mambo zaidi unatakiwa ku-click sehemu hiyo...karibuni

3 comments:

Anonymous said...

Mkuu unasahau kutuonesha mipigo yetu ya kibongo si unajua tena.Nakumbuka kwetu kupendeza hakungoji shughuli!

DERRICK MUSHOBOZI said...

Hii itakuwa nzuri sana hasa kwa wale wanaotaka kwenda kwenye mambo ya safari au hata honeymoon big up sana mkuu kazi nzuri

Anonymous said...

Cooool...I like it...it's a good Idea