Monday, 14 May 2007

Transparent Bado Zimo!

Kumbukeni ile style ya kuvaa nguo ambayo inakuonyesha ndani alimaarufu kama transparent bado iko kwenye style na bado watu wanaipa respect kinoma..ila kumbuka ina sehemu na sehemu na pia ina aina ya nguo na nguo ya kuvalia sio unavaa tu ilimradi tu...mnaonaje kama mtoto ashanti alivyojilipua nayo na kwajinsi gani imeweza kumatch mpaka na nguo ya ndani kwa rangi,plus jeans na pochi pia...na kwa kukisia chini atakuwa kamalizia na mdundo mmoja wa maana sana hasahasa highhills ya maana...embu tazama fresh transparent hiyo ilivyosimama warembo.

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

They look nice and pretty and the outfit luks good on them i like the lady in red transparent outfit she's nice