Tuesday, 26 June 2007

Mambo Ya Summer Hayo Miss Candy1!











Nimeona leo nimpe shavu mdau wng mkubwa Candy1 kwa kumchagulia stock hii ili ajilipue nayo wakati huu wa summer hko aliko..nadhani utakuwa umekubali mapigo hayo mrembo...nimeona nikudunge kuanziaTextured Hoop Earring ,Kensie Rhinestone Cuff Watch,Junk Food Mr. Wrong T-Shirt,Star Cuffed Short na flat shoe hiyo ya silver miss candy1.....

1 comment:

Faith S Hilary said...

Oooh my God...thx 4 givin me dat honour Sheria ma bro...I love it...especially the top, the watch and the short...they r fabolous and it's a cool combination...thx bro..it's candy1