Wednesday, 27 June 2007

Wakubwa Mnaonaje Hapo?







Haya wakubwa nimeona niwape down pocket ya kijeshi muweze kusuuzavinywa vyenu fresh..hapo nimewapa kuanzia Punkrose Shaka Shoe,Destruction Short,OBEY Rose Limited Edition na kumalizia na hizo Rayban Sunglasses...mpo wakuu na mdungo huo?

No comments: