Tuesday 24 July 2007

Derrick Mshobozi!

Huyo ni mdau na mshika dau mkubwa wa blog hii Derrick Mushobozi akiwa katika pozi moja matata sana kwenye maonyesho ya kimataifa ya saba saba....hapo pichani akiwa na naibu balozi wa marekani nchi Tanzania baada ya kupokea tuzo kutoka kwake...safi sana!

7 comments:

Faith S Hilary said...

Haha...Congrats Derrick...but wot was that for???

DERRICK MUSHOBOZI said...

Eheee eheee sina cha kusema mkuuu.

Simon Kitururu said...

Mzee Derrick, bomba sana hapo. Tuzo lilikuwa lakuhusiana na nini.Naona hukumjibu Candy hapo juu.Au siri?:-)

Anonymous said...

mmmh Dereck si ulisema wewe mmama tena unawatoto kwenye blog ya Shamim, aaha njia ya muongo fupi!!

DERRICK MUSHOBOZI said...

ANONYMOUS 25 JULY 11:30
Acha matani bwana mimi nilisema lini hayo maneno sio kihivyo ndugu yangu.

DERRICK MUSHOBOZI said...

Simon Kitururu na Candy napenda niwajulishe hiyo tuzo tuliipata baada ya kuibuka moja ya makampuni bora kwenye saba saba international trade fair mwezi huu.

Simon Kitururu said...

@Derrick:Poa