Thursday 26 July 2007

Mambo Ya Ray C Hayo!



Tukiwa tunaongelea ubunifu sio lazima ubuni kitu ila hata kuwa na choice ya kitu inatosha sana tu...kama hapom pichani ni mwanamziki matata sana pale bongo Ray C akiwa ajilipua na pamba nyepesi tight sana na kusema ukweli amependeza sana na bila kusahau hata huyo mpiga picha nae kaenda shule...embu mtazameni kuanzia picha ya chini huyo chui chui aliyemnyuka mguuni na hilo gauni au sppy koti flani hivi lilivyomtoa nyoko?picha ya juu kabisa amependeza pia kwa kujilipua na gauni hilo jeusi na limempendeza sana...safi sana Ray C mlipuko umetulia sana...au mnasemaje wadau?

2 comments:

Faith S Hilary said...

I like the second dress...and the shoes r fabolous...keep it up Ray...luv u..it's candy1

DERRICK MUSHOBOZI said...

Fabolous and sexy no more words to say i guess some of our female artist shud learn from her how to dress coz being a artist thts one of the main FACTORS how u dress.