Sunday 29 July 2007

Mambo Ya Sole Smokey Shoe







Warembo nimeona leo kumalizia wikiendi hii ni bora niwape stock hii matata sana msukutue nayo vinywa kisawasawa...kama mjuavyo hapo leo nimevizungumzia viatu aina ya Sole Smokey Shoe ambavyo vilikuwepo zamani hizo ila vimerudi tena kwenye kwenye fashion...hapo nimekumatchishia na Black wrap front jersey dress, Layered Necklace,Square Earring,Sunglasses hizo na kumalizia na hiyo Quilted Tote...mnaonaje stock hiyo?

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

I just love those shoes they are reall tight