Monday, 16 July 2007

Summer Style Hiyo Warembo...Mnasemaje White & Gold ilivyopendeza!







Hiyo ndio White & Gold zinapokuwa zimematchishwa warembo...mapigo hayo ni murua sana katika kipindi hichi cha Summer...na hapo nimewawekea kuanzia Metallic Tote,Glitter Inset Bangle,Charm Necklace, Lisa Cotton Embroidered Dress na kumalizia na hizo CL By Laundry Katlyn Shoe...mpo hapo warembo?

2 comments:

Faith S Hilary said...

The dress is sooo cute...i luv it..nice outfit...it's candy1

Unknown said...

Loving the looks sheria