Mapigo ya Kiofisi Wakuu!
Nimeona niwadunge stock hiyo simple na matata sana wakurugenzi wangu muweze kusukutua vinywa vyen...hapo nimewawekea Formal Shirt (mistari mistari) na tai hiyo pia yenye mistari,Grey flexible waist trousers na kumalizia na huo mkwaju wenye ubapa mbele wa maana...
4 comments:
Umeishiwa kwenye suala zima la fasheni.
Hujua uchaguzi wa viatu sijui utakwenda kwenye ofisi gani ya maana na miviatu hii. Imekaa kama viatu vya kuogelea.
wewe anonymous hapo juu embu ukae ukijua hujalizimishwa kutembelea blog hii ya sheria,na ukae ukijua kama wewe unajiona unajua sana fashion fungua blog yako uache tabia za kisenge kabisa sheria anatupa vitu ambavyo sisi wadau zake tunamkubali,sasa basi ukae ukijua hii blog ya jamaa sio ya unafiki,majungu na umbea wa kizamani kwahiyo jiheshimu usilete tabia za ujike hapa
Kama anaona namna gani basi awekee vitu vyake tuone maana naona mdomo mkubwa kama nini au kama vipi akaanzishe blog yake huo ni unafiki kama unaona havifi kama kimya hatujakwambia utuambie na mambo ya kuingia humu na kuanza ku-criticise watu sio ishu hizo acha ishu za kizamani hizo hawa ndio wale wale tuliokuwa tunawazungumzia kazi yao ni majungu tu kwenye blog za watu
Wabwege tuu nyie washamba na hamnazo kabisaa. Ofisi gani utakwenda na miviatu kama yakuogelea? hahhaaahaha nyie ni kuku wa kienyeji tuuu.
Post a Comment