Mapigo Ya Kukandamizia...
Hapo wakurugenzi wangu sina la kusema zaidi ila nimeona niwape fursa na nyie wenyewe mchague ni stock ipi mmeikubali...ila kwa mtazamo wangu hayo mapigo nimeyaona ni simple sana kujipiglia weekend au jioni ukiwa unaenda sehemu flani flani....kama uonavyo pichani juu nimekukadamizia kuanzia hiyo saa ya maana,Harold Layered Brown Jumper,linen trouser na hiyo kandambili ya ngozi hapo..........mnasemaje wakuu stock hiyo?
No comments:
Post a Comment