Ngwair.........Huyo!
Nadhani ni kati ya Wanamziki wakali na mahiri sana wa Bongofleva ila si mwingine zaidi ya Mangwair...ni mwanamziki mwenye style kali ya kuimba na kwa kifupi anajitahidi sana sana kwa style yake ya kuimba na anavyonata na kula sahani moja na beat anazopewe na kumbuka siku zote mwanamziki huyu ukimpa Featuring katika nyimbo yoyote ni lazima akufunie vibaya na watu wakisikia hiyo nyimbo hiyo kwa mara ya kwanza wanaweza kufiri ni nyimbo yake mpya..Basi wadau zangu kuwahakikishia hiyo ngojea niwadunge stock ya nyimbo ya
Big 4 The Gz Ft Ngwair.....Pata Burudani Hiyo......
No comments:
Post a Comment