
Leo wadau zangu nimeona niwadunge rangi moja adimu sana lakini mkae mkijua enapo ukipata fursa ya kukamata stock hiyo ni balaa...rangi hiyo sio nyingine ila ni light pink na white zinapokuwa zimemtchishwa mambo huwa barabara sana...ila kumbuka kwamba rangi nyingi za pinkkwa upande wa wanaume zinakuwaga ni light pink na kwa warembo huwa inakuwa either dark zaidi au kidogo kwahiyo pink ya kiume na ya ke tofauti yake inakuwaga hivyo wakuu...wakuu tazameni hilo Light Pink Blazer,Formal Shirt hilo lenye mistari,Belt,Lenny Linen Trousersna mkwaju huo ful white....mnasemaje wakurugenzi stock hiyo?




No comments:
Post a Comment