Monday 30 July 2007

Steve nyerere aja DVD yake
Ni yule mchekeshaji maarufu na muigizaji wa sauti za viongozi mbalimbali nchini na nje ya nchi Steve Mengele maarufu sana kama Steve Nyerere.Mwishoni mwa mwezi wa huu Steve anarajia kuzindua DVD yake ndani ya Dodoma Hotel

DVD iyo imepewa jina la Respect of Nyerere na inatarajiwa kuzinduliwa na Mheshimiwa Lowasa....Bila shaka ni kweli sio usaniialipigwa dongo na mheshimiwa Makamba kuwa anakula kutokana na sauti yake...ila alimpa big up na kumwambia ni vizuri kwani anatumia kipaji chakeNae Tibaigana alimwambia Steve kuwa anapaswa kumlipa kwa kuigiza sauti yake na huko akilipa VAT.....na kumfagilia kwa ubunifu wake wa kutoa video hiyoHaya steve kila la kheri twaisubiri kwa hamu

No comments: