Thursday, 12 July 2007

Ubunifu!

Huo tunauita ubunifu wadau nadhani mnaona ni jinsi gani kila mtu anataka kutoka kivyake vyake..kama harusi hiyo ilifanya kama kijadi flani hivi na maharusi waliondoa uvaaji wa mashela na suti na badala yake wakatoka na mavazi simple ya kitamaduni na kwakusema ukweli ilipendeza sana na harusi hiyo kuonekana njema vibaya sana...au mnaoaje wadau zangu ubunifu huo?

1 comment:

Faith S Hilary said...

mmh...intresting.,