Tuesday 14 August 2007

7 Diamonds Bed Of Roses Shirt







Haya wadau zangu akina kim,derrick,tinashe,haki,gusto na n.k nadhani hapo mtakuwa mmekubaliana na huo mtoko wangu wa kiofisi au hata kwenda kwenye special occassion flani hivi popote pale..hapo utaona nimekudunga kuanzia hiyo Kenneth Cole.blck patent lthr shoe,Black twin stripe trousers,Black Formal Belt,7 Diamonds Bed Of Roses Shirt,Gold & blue Dot Tie,Watch......

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Mkuu tock hii nimekukubali hasa kwenye ti na shati pamoja na viatu vimesimama kinoma na jinsi hilo shati lilivyokuwa designed strips zimesimama sana.