Monday 6 August 2007

Daytrip Floral Satin Shirt...!







Hayo ndio mapigo mapya warembo wa blogu hii...leo nimeona niwadunge hiyo Daytrip Floral Satin Shirt....tazama pichani nimekuwekea kuanzia hizo Black Boots,Lucky Brand Tempest Meggie Jean,Daytrip Floral Satin Shirt (Back & Front View),Sunglasses na hiyo Black portfolio grab bag..........kumbuka uvaapo hizo Boots ni fresh zaidi endapo utachomekea hiyo Jeans ndani ya hizo Bootz na hapo zitaonekana nyoko kinoma.....mpo hapo warembo?

No comments: