Wednesday 29 August 2007

Grey and mustard marble print dress





Hayo ndio mapigo ya kutoka pale mtoko huo ukijitokeza warembo...kama uonavyo pichani nimeamua kukuwekea rangi adimu sana ya yellow ambayo mara nyingi ni unique sana kama silver,gold n.k.Basi tukianzia chini nimekuwekea hiyo Guess-yellow patent,Grey and mustard marble print dress,Rhinestone Stud Earring,Braided Handle Tote..nadhani hapo mtoko umekamilika kwa kuwa simple sana....

No comments: