Friday 10 August 2007

Kim!

Napenda kumpa pongezi sana mdau wangu Kim wa Kule Reading,UK kwa kunitupia stock hiyo matata sana na kulipuka jumba (suti) la maana na kumatch fresh sana kuanzia tai,kitambaa cha pembeni,sati na pozi pia..Mdau wng huyu amesomea mambo ya Art & Design so jamaa anatisha katika mambo hayo...Big Up sana mkuu na umelipuka jumba simple na limekutoa......

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

One gud piece of suit i love the color of the tie