Friday 17 August 2007

Ladiezzzzzz....Mambo Ya Classic Hayo!






Warembo leo sina la kusema kwakuwa kama kuwapa mapigo ya kiutu uzima nadhani wiki hii nimejitahidi sana ukilinganisha na kuweka vikaptula na majeans kwa sana...sasa hapa nimeona nikupe stock hiyo uliyokaa classic kinoma kuanzia juu ni Black side link belt grab bag,Sunglasses,Oval Bead Necklace,Ivory & black ribbon trim dress na hicho Naughty Monkey Walk The Talk Shoe....warembo mnaonaje mtoko huo?

No comments: