Monday 13 August 2007

New Stock 8020fashions!

Ukisikia kumekucha basi ujue kumekucha...pichani ni mrembo na mmiliki wa duka la 8020fashons akiwa amejipigilia na stock mwanana ambazo zinapatikana katika duka lake mitaa ya sinza.....kwa maelelzo zaidi na kuona stock nyingine zaidi ili zikupe moto log on...www.8020fashions.blogspot.com..... ujionee mwenyewe.....

No comments: