Thursday 9 August 2007

Simple!






Hayo ndio mapigo simple lakini kwa wadau zangu mtakubaliana na mkato wa pamba hizo kama mtakuwa mmenisoma fresh..ni kuanzia Mens Plastic Wrap Sunglasses,Twister Sleeveless Tank Top,White linen shirt,Lenny Linen Trousers na kumalizia na kobadhi hilo la kusukwa kama mkeka (Italian Style)....mpo hapo

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Sheria hizo sandals zilizosukwa na material kama ya mkeka vile ubunifu wa hapo nampa sana jamaa hongera nice designs ila kwa hapa bongo itabidi uwe unazivaa sehmu na sehemu