Monday 6 August 2007

West Africa Wedding Style!



Wapenzi na wadau wa blogu hii nimeona leo niwadunge stock hiyo ya West Africa Wedding Style zilivyokuwa zinamvuto wa hali ya juu na bila kusahau ni ubunifu unaovutia sana na harusi kuonekana kiafrika sana kuliko wengi etu tuliozoea kuona harusi nyingi watu kuvaa suti na mashela yenye asili ya kizungu...hapo mnaonaje uvaaji huo pichani wadau zangu,je umewavutia?

2 comments:

Anonymous said...

this thing iz fabulous sheria nimependa sana

Simon Kitururu said...

Bomba sana hii!