Wednesday 8 August 2007

West African Wedding Pt.2!






Nimeona na leo pia niwape tena stock ya picha za jinsi gani harusi za wenzetu wa Afrika Magharibi wanavyojivinjari kwa kwenda mbele siku ya harusi zao kama uonavyo pichani mabazee yalivyochanuka kwa kwenda mbele na kubuniwa kwa kila aina ya style na kwa kusema ukweli kuleta mvuto wa hali ya juu sana...au mnaonaje wadau zangu?

3 comments:

Faith S Hilary said...

I like this 1..more than the green 1...they r really creative...I luv it

Simon Kitururu said...

Safi sana hii!

DERRICK MUSHOBOZI said...

Nilichogundua hapa sheria ni kuwa pamefanyika ubunifu wa hali ya juu sana halafu material yaliyotumika hapo quality yake iko bomba sana it really luks nice