Monday 3 September 2007

1000 Posts Annivesary!

Siku hii ya leo ndio nimefikisha Posts ya 1000 katika blogu yenu hii ya Sheria Na Mavazi...nakumbuka nilianza Post yangu ya kwanza mnamo(March 12th 07).Napenda kuwashukuru sana wadau zangu wote wa Blog hii kwa kunipa moyo,mawazo ya kila aina na pia bila kusahau kunipa props pindi ninapofanya au kuweka kitu mnachoona kimewagusa sana katika swala zima la mavazi .Basi sina la zaidi ya kuwashukuru sana kwa comments zenu za kila aina na kunikosoa pindi ninapokosea..Pia napenda kuchukua fursa hii kumshukuru sana Bro wangu Haki Ngowi (haki-hakingowi.blogspot.com) kuwa mfano kwangu na ndio aliyenipa akili ya kuanzisha blogu hii na wanablogu wote bila kumsahau Shamim,Michuzi na wadau zangu popote pale mlipo ulimwenguni....nawashukuruni sana tena sana.....

15 comments:

Simon Kitururu said...

Hongera Mkuu!1000 and counting , simchezo!

Anonymous said...

ULIKUWA INDIA NINI MBONA HAPO KAMA INDIA KWA KUMBUKUMBU ZANGU PLS NIJIBU

Anonymous said...

huyu kaka bwana, kwa vile kashajijua mzuri, basi tena, uchokozi tu, muone mkono alivyounyoosha kama vile anataka kunipa hug na wakati yupo kwenye picha. Usitake kusingizia kuwa hilo ni pozi tu, nimekustukia we mchokozi!

Sheria Ngowi. said...

napenda kukujibu anonymous na mdau wng ni kweli hapo ni india je wewe ulishawahi kusoma huku?

Sheria Ngowi. said...

mrembo sophia mk nashukuru sana kwa comment yako...ulipotelea wapi?za masiku karibu tena....nitumie email bac na picha zako plz...haiiiii

shamim a.k.a Zeze said...

WA!! WA!!! WA!!! CONGRATS KWA 1000...SHERIA KAZA BUTI NA KANYAGA TWENDE MTU WANGU SPEED NI 180...FAGIO BOVU AND KEEP IT TIGHT usiruhusu upepo kupita...Da sophia Taratibuuuuu!!

Anonymous said...

hongera kaka, keep it up.
one love

Anonymous said...

Yeah Sheria mimi nilisoma India miaka ya nyuma kidogo wewe upo India au ulisoma India

Anonymous said...

Hivi wewe kaka sheria unaishi wapi? Please sitanii...

Anonymous said...

He sheria, usiniambie kuwa Haki ngowi ni kaka yako wa damu!!! Pleaseee..... maana hata Majina yenu ya Ubini yanafanana!!!

Sheria Ngowi. said...

hi anonymous...mimi nipo kimasomo india na huku nikijihusisha na ubunifu na kufanya modelling mara kwa mara...vile vile haki ngowi ni kaka yangu kabisa wa damu..hahha ahaha mbn umeshangaa sana?karibu sana na nashukuru kwa kuitembelea blogu yangu...

Anonymous said...

Asante sheria kwa ufafanuzi

Anonymous said...

no problem Sheria, nitakutumia picha sometime this week.

Anonymous said...

no problem Sheria, nitakutumia picha sometime this week.

Chemi Che-Mponda said...

Nami nakupongeza! Endelea na kazi nzuri. Kweli una moyo na bidii ya kublogu. Mfano wa kuigwa.