Sunday, 23 September 2007

Black big paisley satin print tunic







Hi ladiez hayo ndio mambo ya kujipigilia na mapigo simple na kutoka bunduki kinoma....nikianzia na stock ya kwanza juu utaona nimekuwekea kuanzia hilo Black mock croc satchel bag,Black scarf with scattered sequin design,Black big paisley satin print tunic,White linen trousers na hizo flip flop sandals.....

No comments: