Monday, 17 September 2007

Black Oversized Black Gloss Patent Leather Handbag






Hayo ndio mambo ya Black oversized black gloss patent leather handbag..nadhani mrembo totoo hapo utakuwa umenipata fresh mnyambuliko mzima wa mapigo hayo....kuanzia chini nimekuwekea hiyo Black Lthr Boot,Silver Toni Stretch Jean,Light Blue fitted blouse with a spread collar and mutton sleeves with a gathered single button cuff,Waistcoat,mpo hapo warembo?

1 comment:

Anonymous said...

nimekupata wangu..iyo buti km wanchoma moyo vilee siunajua tena..heheee..mi haya mapigo yataniua kabla ya siku zangu..