Ladiez naona leo iwape mapigo matata na balaa sana...utaona nimekuweka hizo Diba Evelyn Shoes,Freshwear Herringbone Casual Short,Long Strappy Tank,Daytrip Hooded Sweater,Sunglasses na kumalizia na hizo Trio Bangle Set...nadhani mrembo mama Janet umeona mapigo hayo?
1 comment:
I love the shoes and the top...
Post a Comment