If It Was U......?
Wadau zangu naomba mniambie kama ingekuwa wewe ndio Usher sasa..halafu ukapewa chanceya kuchague kuvaa nguo ambazo usher amevaa katika hizo picha 3 ...je wewe ungechagua kuvaa nguo gani kati ya hizo?Vilevile hata warembo mnaruhusiwa kuchagua hapo pichani ni nguo gani kati ya hizo alizovaa usher pichani alitoka fresh sana?
well mi naona iyo pic ya kati ametoka pina full white au vp
ReplyDeletei prefer my man to wear the third outfit, its not casual or to up tight, however it depend with the function...
ReplyDeletehee! that with black velvet bleza n jeans ohh kaharibu vibaya sna kakimbiza sanaaaa
ReplyDelete