Sunday, 30 September 2007

Irish Vintage Cap.....






Hayo ndio mambo ya Irish Vintage Cap unapokuwa umeyapigilia pamoja na Pink roll-up sleeve shirt,Five Four Dres Jean,Pink Canvas na kumalizia na huo unyunyu wa CKIN2U him by Calvin Klein...Mkuu Gusto upo hapo?

2 comments:

Anonymous said...

jamani mwanaume wangu angejua kuvaa hivi mbona ningekuwa kichaa mimi..nice outfit yani sana the converse uhhh

Anonymous said...

the vintage paperboy caps luk like they are back in fashion. i gotta get a few of those. luks real nice on usher!