Ivory and black print dress & Black patent bow court shoes..!
Haya warembo wa blog hii hapo sina la kusema zaidi ila ni nyie kufanya kazi hizo stock nazowawekea kwa kuzitungua shop na kujidunga nazo vilivyo..kama mtaona nimewawekea kuanzia chini Black patent bow court shoes,Ivory and black print dress,Black circle cut out pendant necklace,Black mock croc trim shoulder bag na Women's diamante dial with black strap watch......
No comments:
Post a Comment