Lady In Red....
Hayo ndio mambo ya lady inred yanavyokuwa mwanana pindi mrembo yoyote anapolipuka nayo vilivyo...pichani ni mdau mkubwa wa Blog hii Geraldine akiwa katika mlipuo mmoja matata sana pichani..kusema ukweli umependeza sana sana kwa uvaaji huo...big up sana na wasalimie wadau wangu wa Manchester City....
1 comment:
darlin umependezaa si kidogo ni mambo ya mfalme nini au nyanya?
Post a Comment