Monday 24 September 2007

Makaveli Red Black Patent........


Makaveli.red blk patent hiyo...nimeiweka pamoja na guess jeans na kukandamizia na msumari wa mwisho kwa kuwawekea Red striped shirt.........mkuu chiza upo hapo?jamani mdau wangu Derrick Mushobozi uko wapi?kuna wadau wanakuulizia....

No comments: