Thursday 6 September 2007

Mambo Ya Black,Grey,Brown!







Haya wadau zangu embu leo kamateni hiyo stock hapo mkate kiu...kuanzia juu utaona nimewawekea kuanzia Guess Industrial Watch,Argyle Sweater,Black YSL print shirt,Black smart trousers na kumalizia na hiyo simple mkwaju hapo wa kuparaganyuka nao wakuu

No comments: