Saturday, 15 September 2007

Mambo Ya Suspendez Hayo Wakuu!





Wakuu wangu leo nimeamua kuwadunga mambo ya suspendez kuanzia warembo mpaka sisi wenyewe..basi hii style kwa upande wetu nimeona niiweke iwe more funky style ukilinganisha na upandewa warembo ambao nimewawekea kidogo classic flani hivi...basi hapo chini kwa upande wetu nimekuwekea kuanzia hiyo Adidas Forest Hills,Lucky Brand Dusty Derby Jean,White Neck T-shirts na kumaalizia na hizo post-suspenders....

No comments: