Mambo Ya Swimwear!
Haya warembo leo nimeona niwape mambo ya swimwear kwa wale wapenzi wakubwa wa kuogelea au kupumzika baharini...basi hapo sina la kusema zaidi ya kukupatia kuanzia O'Neill Peek-a-Boo Flip,O'Neill Pipeline Bottom(front & Back View),O'Neill Pipeline Top(Front & Side View) na Fossil Orange Digital Watch...
No comments:
Post a Comment