Sunday, 30 September 2007

Milipuko Ya Pamba.....


Uvaaji siku zote sio kubahatisha ila ni mtu mwenyewe kuwa na choice katika upangiliaji wa pamba hizo kuendana na mavazi yanayoendana na mwili wake na pia rangi...kama uonavyo pichani kuanzia juu utamwona mzee mzima L.A. Reid,Tameeka na Usher walivyolipuka mapigo makali sana..na pichani chini ni mambo ya Ugentleman kidogo..utaona wazee hapo wamejipigilia majumba(suti)za maana na zimewakaa vilivyo kuendana body zao na rangi ya nguo walizovaa...tukumbuke kuwa na choice kabla ya kuvaa kwa kujua ni nguo gani ukizivaa zinakupendeza kwenye mwili wako pamoja na choice ya rangi ambayo inaenda na mwili wako..pichani chini unawaona Bryan Michael Cox, Johnta Austin (I guess Johnta is back to writing only lol) Usher and Jaha Johnson.

No comments: