Roxy Shasta Boot
Roxy Shasta Boot hizo warembo...nadhani stock hiyo pichani imetulia sana kwa wale warembo wanaopenda kujiachia na pamba simple na kuonekana wametoka nyoko bovu...hapo nimekuwekea hizo boot pamoja na MEK Flap Pocket Stretch Jean,Thermal Top,Brown gem pendant necklace and earring set na kumalizia na hiyo coloured jacquard tote bag.....
No comments:
Post a Comment