

Nadhani warembo na wadau wote wa blog hii mtakuwa mmekubaliana na mimi ni kwa jinsi gani mtoko huo umekamilika na kungaa viivyo...kama kawaida mmeona nimewawekea kuanzia Silk red dress & betset johnson red na kukamilisha mlundiko uo w stock kwa kwawawekea na hiyo Shell Necklace na BlueTextured Wallet ambazo zinamatch na hizo dotz za kwenye hicho kiatu..mpo hapo warembo?
No comments:
Post a Comment