Monday 3 September 2007

Stock!





Waungwana wa Blog hii nadhani mtakuwa mmekubaliana na stock hiyo matata niliyowadunga pichani i mean kuanzia juu mpaka chini..tukianzia juu utaona nimewadunga kuanzia hiyo Olive cord blazer,BKE My Checkered Past Shirt,Plaque Belt,Lucky Brand Social Jean na kukandamizia chini na hiyo Black Travolta....

No comments: