Wednesday 12 September 2007

Vintage Newsboy Cap & Snow Sport calf...!






Hayo ndio mambo ya kulipuka mapigo simple ila kumbuka kwa mtu anayejua fashion kwa ujumla na pia kuvaa atajua unahela ndefu kwakuwa ni mapigo ya kipekee na kwa watu ambao wanapenda kula maisha kwa utulivu bila purukushani....tazama kuanzia juu nimekudunga hiyo Vintage Newsboy Cap,White linen shirt,Hurley One & Only Short (front & back view) na kumalizia na hiyo Snow Sport Calf By Calvin klein....

2 comments:

Anonymous said...

mkuu huo mdungo nimeukubali vibaya sana.. yenyewe mwanangu.. itabid nitafute kama huu wa kutokea wkend! safi sana keep it up son..

Anonymous said...

mwanangu hiyo nimeikubali vibaya sana