Bash!

Kama kawaida nimeona leo niwape wadau zangu picha za Bash moja matata sana pichani juu,tukianzia picha ya kwanza ni Big 3,Kutoka kushoto ni Mimi Sheria(CEO sheria & Mavazi Blog),Nash(CEO HipHop 4eva Blog),Haki(CEO Thomas Inc & Food for Thought Blog),Picha ya pili nikiwa na mrembo Edna na ya chini mwisho tukiwa na Mh.Issa Mwandu....Mavazi yote By Sheria & Mavazi.....
15 comments:
kazii kibwa sheria na mavazii hakika mmependeza sanaaa sanaa sasa ni lini unakuja kufungua duka huku tanzania?sina la kusema zaidi huna mfano sheria fanya mapinduzi tz watu wajue kuvaaa....
EBWANAAAA MKUUU HABARI....
HIVII NYIE NI WATOTO WA MZEE
NGOWI?MNATISHA KAZENI BUTI DAIMA
TUPO NYUMAA YENU.
milipuko milipuko na sheria na mavazi nimependa sana mlivovaa
picha ya kwanza wote mnavutia yani mmejua kupangilia colour ya nguo mlizo vaa nimependa muno mnastahili sifa
picha ya pili umependezea na huyo mdada ni sister wako?kavaa simple gown kapendeza
picha ya tatu kama kawaida mmependeza na dau hapo katikati tapendeza ni hayo tu..
Looking good sheria,naisubiri hiyo clothing line kwa hamum
hey you brotherz looking good good kuvaa naona iko katikati ya damu zenu...sheria utafika mbali kwenye sawala la mavazi tuliza kichwa uje ukawashe baruti Tanzania nzima ikujue valisha mpaka watoto yatima
AMINIIIIIIA WANGU YAANI NIMMELIPUKA KINOOOMA...mh HAKI NAE WAMOOO!!...SHERIA DONT TELL UNATAKA USEME HAYO MAVAZI NDO KATI YA YALEEE UNAYODESIGN....WOW!! BASI MI NITAKUWA SINA HAJA YA KWENDA CHINA KWA SASA MAMBO YOTE KWA SHERIA...nipe uwakala wangu...lol...yaani im speechless kifupi mmelipuka full
hey huyu ISSA MWANDU SI NDOGO WAKE IBRAHIM MWANDU....WATOTO WA MG KASORO BAHARI MSALIMU MWAMBIE DADAAKE SHAMIM ANAMSALIMU
NI HAYO TU
nimekubali Sheria.............good job.CANT WAIT KUONA KAZI YAKO NDANI YA BONGO.
nimekubali Sheria.............good job.CANT WAIT KUONA KAZI YAKO NDANI YA BONGO.
ulivyosema mavazi yote bya sheria+mavazi ulimanisha wewe ndio designer wao au?uliwaazima hehee(kiddin)..mweee kazi ipo safii sana...mlilipuka c kitoto wanguuu..full mng'aroo..bado mavazi yakike sasa nayasubiria kwa hamu..NICE PICTURES!!1
vijana mnatisha vibaya sana kama mwendo wenu ndio huo ohh sijui mmemaliza.Mzee mzima sheria uko juu sana kazi nzuri
Wow...U guys r lukin fly than EVER!!!!!...Keep doin ur gud job ma brother...
Edna bebez umependeza sana hivi kwanini wewe msichana ulinikataa?nimefurahi sana kukukuta hapa ni siku nyingi huyo mwenye rasta ndio mmeo?holla babee @tototundu8@yahoo.com kwa sasa nipo Italy still nipo single
Ooooh Loard! Yaani mtu na kaka'ke ni wazuri hao! yaani ni wa nguvuuuuuu! kumbe na Haki nae ni hot! Hebu angalia macho yao, these guys are just fine N' that's it. Yaani mimi wala hayo mavazi hayanishughulishi kabisaaaaaaa, hakuna hata cha ajabu hapo nilichokiona kwenye suala la mavazi japokuwa wamependeza. Mimi ni hawa wakaka tu Sheria na Haki, mshukuru mko mbali hivyo hivyo, ningewapigia misele mpaka wangejuta kuzaliwa wazuri!
I check ur blog daily 'cause I like when u line up dem combinations.In this particular occasion u've been too agressive with your colours.The other fellas are ok though, remember as stylist and black dude u always dress in a way u dont have to explain ur choices! Thats my opinion
Baab Kubwaa!
Post a Comment